Wawekezaji warudisha vitalu, Serikali yaeleza
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu ametoa sababu zilizopelekea vitalu vingi vya uwindaji wa wanyamapori nchini kukosa wawekezaji na hata baadhi ya wawekezaji waliokuwa wanamiliki baadhi ya vitalu hivyo kulazimika kuvirudisha Serikalini.

