Kinda wa Simba ataja alichoambiwa na Wawa uwanjani
Kinda Joseph Peter na Pascal Wawa
Kinda wa klabu ya Simba, Joseph Peter ambaye amecheza kwa mara ya kwanza jana katika timu ya wakubwa amefichua siri kubwa iliyomsaidia kuwa na kiwango kizuri uwnjani.