Mtoto mchanga wa siku 2 akutwa jalalani Singida Wananchi waliojitokeza katika eneo la tukio Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto mchanga amekutwa ametupwa jalalani katika kitongoji cha Majengo wilayani Manyoni mkoani Singida. Read more about Mtoto mchanga wa siku 2 akutwa jalalani Singida