Kangi Lugola aagiza wavuruga uchaguzi kukamatwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuwakamata na kuwafungulia mashataka watu wanaowapotosha wananchi kutokujitokeza kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

