"Nay wa Mitego ni mtoto mdogo tu hajui" - Mlela
EATV & EA Radio Digital, imepiga stori na msanii wa filamu Yusuph Mlela, ambaye amefunguka kuhusu mastaa kudanganya umri, pamoja na suala la Nay Wa Mitego kuwachana baadhi ya wasanii ambao wanatembea na mabaunsa.
