Mkuu wa Mkoa asikitishwa na watu wanaotupa watoto

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedia Jenerali Nicodemas Mwangela.

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Brigedi Jenerali Nicodemas Mwangela, amesikitishwa na matukio yanayoendelea ya baadhi ya wanawake wanaojifungua watoto na kuwatupa na kuitaka jamii kuhakikisha inatoa taarifa juu ya matukio hayo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS