Alichokisema Abdul Nondo baada ya kuachiwa huru
Mahakama Kuu kanda ya Iringa, imemuachia huru aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu, Abdul Nondo, baada ya kukutwa hana hatia katika kesi ya Rufaa iliyokatwa na upande wa Jamhuri, baada ya kutoridhishwa na hukumu yake aliyoshinda mwaka 2018.