Mahakama Kenya yakataa ombi la Otieno kuhusu Raila Awali, Otieno aliitaka mahakama itamke kuwa utaratibu huo wa maziko unakiuka haki za wananchi wanaotaka kutoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi huyo wa upinzani. Read more about Mahakama Kenya yakataa ombi la Otieno kuhusu Raila