Mzee wa Bwax amponda Dulla Makabila Dulla Makabila kushoto na Mzee wa Bwax kulia Msanii wa muziki wa singeli, Mzee wa Bwax, ameiambia eNewz kwamba anashangazwa na wasanii wa singeli wanaofanya kiki za kujiuwa au kupaka make up kama wasanii wa bongo fleva. Read more about Mzee wa Bwax amponda Dulla Makabila