Alichokisema Sabaya kuhusu kugombea Ubunge Hai
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, amesema kuwa hana mpango wowote wa kugombea Ubunge wa Jimbo la Hai, kwa kuwa imani aliyopewa na Rais Magufuli juu ya kuwatumikia wananchi wake ni kubwa na ataendelea kuifanya kwa uadilifu mkubwa.