Kuingia MOI sasa lazima uvae barakoa

Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI).

Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), imesema kuwa kuanzia kesho Aprili 17, 2020, kila mtu awe mgonjwa, ndugu wa mgonjwa ama mdau yeyote atakayeingia katika taasisi hiyo anatakiwa kuvaa barakoa (Mask).

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS