Makonda aomba radhi kwenye hili
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaombea radhi wakazi wa Jiji hilo kwa ndugu zao walioko mikoani, ambao wanatamani kuja jijini humo, kwamba wasiwaruhusu kutoka huko waliko kwa kuwa hali ya maambukizi ya Virusi vya Corona ndani ya Dar es Salaam siyo nzuri.