Maombi yaliyotangazwa na Rais Magufuli kuanza leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, jana Aprili 16, 2020 aliwaomba Watanzania wote kwa imani zao kutumia siku tatu mfululizo kuliombea Taifa, dhidi ya janga lililoikumba Dunia la maambukizi ya Virusi vya Corona.