"Niliambiwa sitakiwi kuingalia Dunia" - Chidi Benz
MwanaHipHop Chidi Benz
MwanaHipHop maarufu hapa nchini Chidi Benz, amefunguka kusema watu wake hawamruhusu yeye kutumia mitandao ya kijamii kwa sababu, aliambiwa hatakiwi kuyaona yale yanayoendelea duniani.