Wizara yatoa neno picha za barakoa zinazosafishwa

Picha zilizosambaa mitandaoni zikionesha barakoa zikioshwa.

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, imetolea ufafanuzi mzuri kufuatia picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionesha watu wakisafisha barakoa zilizochafuka, kitendo ambacho ni kinyume na maelekezo ya namna ya utumiaji wa barakoa hizo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS