Mtoto anena majibu ya wataalam kifo cha mama yake
Mtoto wa kiume wa Mchungaji na Askofu wa Kanisa la Mlima wa Moto, Muta Rwakatare, amesema kuwa mpaka sasa wanasubiri majibu kutoka kwa wataalam ili kujua ni kipi hasa kilichopelekea kifo cha mama yao licha ya kuwa alikuwa akisumbuliwa na presha.