"Vijana acheni kusubiria kufa" - Mchungaji Kimaro

Mchungaji wa KKKT Kijitonyama Dkt Eliona Kimaro

Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kijitonyama Dkt Eliona Kimaro, amewataka vijana kuacha kusubiria vifo kwa kuwa maisha bado yapo na waendelee kuweka mipango yao ya maisha ya kawaida na kuachana na taarifa zinazowaletea msongo wa mawazo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS