Kinachoendelea kuhusu kifo cha mama Rwakatare

Marehemu Askofu Dr. Rwakatare na mtoto wake wa kiume.

Familia ya Askofu Dr. Gertrude Rwakatare, imesema kuwa kwa sasa bado inasubiri taratibu za kikao cha familia pamoja na Serikali kabla ya kutoa taarifa kuhusu msiba huo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS