RPC Dodoma aelezea Mbowe kuvamiwa na kuvunjwa mguu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Gilles Muroto.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, amevamiwa na watu watatu waliomkanyaga na kumvunja mguu wake wa kulia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS