Kauli ya Lijualikali baada ya kuhojiwa na TAKUKURU Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali. Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali, amewataka Wabunge wote ambao wameitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano, waseme ukweli na si kudanganya. Read more about Kauli ya Lijualikali baada ya kuhojiwa na TAKUKURU