Spika azungumza kuhusu mazishi ya Mbunge Ndassa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa, ofisi yake itajitahidi kwamba mpaka kesho jioni Mbunge wa Sumve Richard Ndassa, aliyefariki Dunia mapema leo anazikwa nyumbani kwao.