Serikali yataja mabilioni yanavyookolewa kwa mwaka
Serikali inaokoa zaidi ya shilingi bilioni 38 kila mwaka zilizokuwa zikitumika kupeleka wagonjwa nje kutibiwa na sasa wagonjwa hao wanatibiwa hapa nchini baada ya serikali kufanya maboresho katika sekta ya afya.