Amuua mkewe na kujiua kwa kisu Mara
Tukio hilo limetokea Septemba 12, 2025 majira ya saa 04:30 usiku ambapo Ibrahim Shida alimchoma mkewe kwa kisu maeneo ya shingo na kusababisha majeraha makubwa yaliyosababisha kifo cha mkewe baada ya kuvuja kwa damu nyingi.

