Baraza la haki za binadamu lakutana kwa dharura

Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba Baraza la Haki za Kibinadamu litakutana kwa dharura kesho Jumanne Septemba 16, kujadili mashambulizi ya Israel nchini Qatar ambayo yaliwalenga viongozi wa Hamas wa Palestina huko Doha wiki iliyopita 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS