Heche hajafuata taratibu kuondoka nchini- Uhamiaji "Mhe. John Wegesa Heche ameondoka nchini na kuvuka mpaka na kuingia nchi Jirani bila kufuata taratibu na Kanuni za Uhamiaji zilizoundwa chini ya Sheria ya Uhamiaji sura ya 54" Read more about Heche hajafuata taratibu kuondoka nchini- Uhamiaji