Wanajeshi wangu laki saba wapo Ukraine - Putin Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema kuwa zaidi ya wanajeshi 700,000 wa Urusi wako hivi sasa kwenye uwanja wa mapigano nchini Ukraine. Read more about Wanajeshi wangu laki saba wapo Ukraine - Putin