Waandamanaji 33 waliuawa kwa kupigwa risasi Nepal

Maandamano ya Septemba yalianza kama maandamano ya amani kabla ya baadaye kutoka nje ya udhibiti. Baadhi ya waandamanaji walichoma moto ofisi za serikali, hoteli na nyumba za wanasiasa, huku polisi katika mji mkuu wakisema walifyatua  mabomu ya machozi na risasi za mpira kwa waandamanaji.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS