Wanne wauawa kwa kuchinjwa Msumbiji.

Kundi linalojiita  dola la kiislamu (IS) tawi la Msumbuji, limekiri kuwaua watu wanne akiwemo mtawa raia wa Italia kaskazini mwa jimbo la Nampula , shambulizi ambalo lilifanyika jumanne wiki hii.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS