Arsenal bado ipo kwenye mbio za ubingwa

Mikel Arteta - Kocha wa Kikosi cha Arsenal

Kocha wa Arsenal Mikel Arteta amesema Klabu hiyo haiwezi kuacha mbio za kupigania ubingwa wa EPL licha kuwa nyuma kwa alama 11 dhidi ya vinara Liverpool.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS