Instagram imefikisha watumiaji Bilioni 3 Kupitia Instagram channel ya META mmiliki wa mtandao huo, Mark Zuckerberg ametoa shukrani kwa watumiaji wa mtandao wa Instagram kwa mafanikio makubwa ya ongezeko la watumiaji wake kwa mwezi. Read more about Instagram imefikisha watumiaji Bilioni 3