Iran yalaani kurejeshewa vikwazo kisa nyuklia
Vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran vimerejeshwa rasmi usiku wa manane siku ya leo Jumapili, Septemba 28, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo na nchi za Magharibi na mashambulizi ya Israel na Marekani katika maeneo yake ya nyuklia.