Mamia wajitokeza kuupokea mwili wa Askofu Rugambwa
Baada ya kupokelewa katika uwanja wa ndege, mwili wa Askofu Rugambwa umepelekwa makao makuu ya Kanisa Kuu Katoliki Bukoba (Cathedral) huku ukisindikizwa na viongozi wakuu wa kanisa, viongozi wa Serikali pamoja na waumini.