Kenya yakiri kusaidia ukamataji wa Kizza Besigye
Serikali ya Kenya imekiri kusaidia katika utekaji nyara wa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye katika ardhi yake mwaka jana, na kumfanya wakili wake kuishutumu Nairobi kwa kujifanya kama "nchi ya kihuni.