Mawakili wapewa siku 14 kukagua kesi zote
Serikali imewapa Mawakili Wafawidhi wa Serikali siku kumi nne kuanzia leo kuwasilisha orodha ya kesi zilizopo kwenye taasisi za umma wanazofanyia kazi pamoja na majina na vyeo vya wahusika waliosababisha kesi hizo.