Tetemeko laua watu 60 Ufilipino Takriban watu 60 wamefariki katika tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 6.9 katika kipimo cha Richter katikati mwa Ufilipino, wanasema maafisa wa usimamizi wa majanga. Read more about Tetemeko laua watu 60 Ufilipino