Mamlaka kuchunguza upya kifo cha Steve Bantu Biko Wakati wa Tume ya Ukweli na Maridhiano mwaka 1997, maafisa wa polisi walikiri kumshambulia mwanaharakati huyo. Mamlaka ilikataa ombi lao la msamaha, lakini bado walitoroka kushtakiwa. Read more about Mamlaka kuchunguza upya kifo cha Steve Bantu Biko