jela miaka 6 kwa kukata sikio la mtoto kisa yai Mbele ya mahakama Hakimu Martin Masao alimuuliza mshtamiwa huyo unachochote cha kuiambia Mahakama? mshtakiwa huyo aliijibu mahakama "SINA CHOCHOTE" cha kuiambia mahakama. Read more about jela miaka 6 kwa kukata sikio la mtoto kisa yai