Nepal kuchagua wabunge Machi 5,2026 Taifa hilo la Himalaya kwa sasa liko tayari kuingia kwenye uchaguzi wa Wabunge Machi 5, mwaka ujao, kwa mujibu wa ofisi ya Rais katika taarifa yake jana Jumamosi. Read more about Nepal kuchagua wabunge Machi 5,2026