Tutaanza kufanya miradi wenyewe hatutokaa kusubiri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu alikemea vikali ucheleweshaji usiokuwa na sababu katika mchakato wa kupata idhini ya mikopo, ambapo miradi inaweza kuchukua hata mwaka mmoja kupitishwa kutokana na masharti na taratibu ngumu.

