Wanasayansi waja na njia mpya kukabili Malaria

Wanasayansi na watafiti nchini Marekanin wamependekeza njia mpya ya kukabiliana na malaria duniani ambapo sasa Mbu wanapaswa kupewa dawa za malaria ili kuondoa maambukizi yao ili wasiweze tena kueneza ugonjwa huo 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS