Polisi yatoa Tahadhari kuelekea mchezo wa Simba Sc

Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, ametoa tahadhari kwa mashabiki wa soka kuelekea mchezo wa kimataifa wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC na Petro Atletico ya Angola.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS