Gueye aomba radhi kwa kumpiga kibao Keane

Mwamuzi akimuonyesha Gueye kadi nyekundu

Nyota wa Klabu ya Everton Idrissa Gueye ameomba radhi kwa Nohodha wake Michael Keane mara baada ya hapo jana kumpiga kibao katika mchezo wa EPL walioibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Man United katika Uwanja wa Old Trafford.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS