Simba tukifungwa Kesho tusahau kuhusu ubingwa
Kocha msaidizi wa Klabu ya Simba Suleiman Matola akizungumza kuelekea mchezo wao wa hapo kesho dhidi ya Singida Black Stars ameweka wazi umuhimu wa mchezo huo Akisisitiza ni lazima kushinda ili kujihakikishia ubingwa msimu huu.