Wachimbaji Wadogo Geita Walia Kuporwa Maeneo
Wachimbaji wadogo wa madini katika eneo la Nyarugusi mkoani Geita wamelalamikia kunyang’anywa maeneo ya uchimbaji ambayo wamekuwa wakiyavumbua na kimilikishwa kwa watu wenye vipato vikubwa (matajiri) na wao kubaki bila sehemu za kufanyia kazi