GenZ na Jeshi la Nepal kuteua kiongozi wa muda leo
Jeshi la Nepal litaanza tena mazungumzo na waandamanaji wa "Gen Z" siku ya leo Alhamisi ili kuamua kiongozi mpya wa muda wa taifa hilo la Himalaya, msemaji wa jeshi la nchi hiyo amesema baada ya maandamano ya hasira kuua 30 na kulazimisha waziri mkuu kujiuzulu.