Morocco U20 waiheshimisha Afrika kombe la duniaU20 Mabingwa (Morocco - U20) Morocco iliandikisha historia Jumapili, Oktoba 19, 2025, kwa kutwaa Kombe la Dunia la U-20 nchini Chile, kwa kuwalaza wababe Argentina 2-0 kwenye fainali. Read more about Morocco U20 waiheshimisha Afrika kombe la duniaU20