
Pichani nia Nandy na Yammi
"Kwenye uzinduzi wa wimbo wangu niliwaalika Nandy na Billnass kupitia uongozi wangu mpya,pia Nandy ni msanii mkubwa atakuwa na mambo mengi au kazi nyingi ameshindwa kufika, Na naelewa ana mambo mengi ana familia ana mtoto kwahiyo nadhani alikuwa na majukumu mengine kwahiyo ni sawa tu" Amesema Yammi
"Nilijaribu kumpigia zaidi ya siku mbili nikawa simpati,hapokei simu nadhani alikuwa busy hata mimi huwa napigiwa simu na watu nakuja kukumbuka baada ya wiki kwahiyo naelewa" Amesema Yammi
"Kuhusu kutoka kwa Nandy sijalipiwa na label yoyote bali nimelipa,kuna mtu msamalia mwema aliniona ni binti mzuri nina tabia nzuri akaamua anisaidie tu kunilipia milioni 100,Alikuwa anataka pesa nyingi lakini nikamuomba kama dada akapunguza'' Amesema Yammi