Wednesday , 26th Feb , 2025

Msanii wa Kizazi kipya na mmiliki wa recording label ya Konde Gang armonize ameonesha kushangazwa na kile alichokifanya msanii Diamond Platnumz kusafirisha magari yake mpaka Zanzibar, ambacho kwa mujibu wa Konde amekitafsiri kuwa msanii Diamond anajitapa ama kujigamba

Pichani ni Diamond na Harmonize