
Ben White
Tuchel ambaye alianza kazi rasmi tarehe 1 Januari kwenye kikosi cha Three Lions, Disemba 2024 alisema atawasiliana na White kwaajili ya kufahamu mustakabali wake ndani ya taifa hilo
Ikumbukwe Ben White aliondoka katika kambi ya England ya kombe la Dunia 2022 nchini Qatar baada ya hatua ya makundi na kurejea nyumbani kwa sababu zake binafsi na kumfanya akosekane katika kikosi hiko kilichocheza nusu fainali ya kombe la Dunia