Thursday , 20th Feb , 2025

Alfajiri ya leo majira ya saa 11 asubuhi bus la New force lililokuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es salaam limepata ajali eneo la Bwawani, Chalinze mkoani pwani.

Alfajiri ya leo majira ya saa 11 asubuhi bus la New force lililokuwa likitokea Tunduma kuelekea Dar es salaam limepata ajali eneo la Bwawani, Chalinze mkoani pwani.

Ambapo bus hilo likiwa barabarani ghafla liliacha njia na kuhama uelekeo na kwenda kugonga mti pembezoni mwa baarabara, katika tukio hilo majeruhi walifikishwa katika hospitali ya Msoga iliyopo Chalinze kwa ajii ya matibabu zaidi.

Akithibitisha kuwepo kwa ajali hiyo kaimu kamanda, ACP Muhudhwari Msuya anasema majeruhi waliopatikana ni 12 ambao waliofokishwa katika hospitali ya Msoga kwa matibabu na baada ya kupatiwa matibabu na majeruhi 11 wameruhusiwa na alieyebaki hospitali ni mmoja ambaye anaendelea kupatiwa matibabu kukiwa hakuna kifo kilicho ripotiwa.

Kwa upande wa abiri wengine walio kuwepo katika ajali hiyo tayari wamesha faulishwa na kuondoka